MWAJOMBENEWS


Hii ni blog mpya inayo milikiwa na EVANS SOMBE; inayokuletea habari mpya na za uhakika punde tu zinapotokea pia waweza kupakua nyimbo na video bure kabisa.Endelea kuwa mjanja kwa kutembelea blog yetu kwa habari motomoto.


Breaking

Monday, June 26, 2017

FAHAMU TIBA YA KUSINZIA OVYO

 tatizo la kusinzia na tiba yake

 

Je hapati usingizi wa kutosha usiku?
Huo ugonjwa unaitwa NACROLEPSY ambao unahusiana na kupatwa na usingizi wakati wowote wa mchana,katikati ya maongezi,kwenye buss n.k.Hali hii inaweza kuwa hatarishi kwa muhusika na husababishwa na Rapid Eye movement(REM) ambayo huambatana na ndoto kwenye usingizi.Hali hii inaweza kutokea kwa muda wa sekunde mpaka masaa.Kawaida tukipatwa na usingizi tunakuwa na non- REM sleep ya dakika 90,ambayo baadae huambatana na REM sleep.Watu wenye necrolepsy hupatwa na Hali hii ya REM sleep papo kwa Hapo.
Hakuna dawa ya kutibu ugonjwa huu Ila ipo dawa ya kupunguza dalili Nayo ni amfetamine like stimulant nayo
hupunguza hizo sleepattacks



 

NA EVANCE CONDRAD SOMBE

0762239504

BONYEZA HAPA KURUDI KWENYE MENU KUU

No comments:

Post a Comment